Total Pageviews

Search This Blog

Friday, April 19, 2024

Gumzo la Mamba na Kiboko - Dialog of a Crocodile and a Hippo

Zamani mamba alikutana na kiboko
Na halafu mamba akasema "hujambo" 
Kiboko akajibu mamba na "sijambo"

Wakati huo jua ikawa kali sana 
Maji ya mto ikawa ikapungua
Ikawa hakuna maji ya kutosha

Mamba akasema "sitaki kupigana nawe"
Kiboko akasema "inabidi tupigane"
"Ni aibu kubwa" akasema ndege kwenye jiwe

Halafu wanyama wote wawili 
Pamoja mtoni ikawa Jumapili
Ndiyo mapigano yao yakawa kali

Wakapigana kwa nguvu mpaka usiku
Ndege akasema "ni jambo la ajabu"
"Wanapingana kama watu"

***

Long ago a crocodile met a hippo
And then the crocodile said "how are you?"
The hippo answered the crocodile with "I'm fine"

In that time the sun was very hot
The water in the river was decreasing
There wasn't enough water

The crocodile said "I don't want to fight you"
The hippo said "we must fight"
"It's an awful shame" said a bird on a rock

Then both animals
Together in the river; it was Sunday
Indeed their fight was fierce

They fought with all their strength until nightfall
The bird said "it's a wondrous thing"
"They are fighting like people"

No comments: